DKT. TAX ATEMBELEA AICC ARUSHA AZUNGUMZA NA BODI NA WATUMISHI , NA KUZURU CHUMBA CHA ICTR
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb) atembelea ofisi za Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC) kujionea utendaji kazi wa taasisi hiyo na kupanga kwa pamoja jinsi ya kutekeleza…