TANZANIA YATOA MUELEKEO WAKE KATIKA AWAMU YA PILI YA UONGOZI WA RAIS MAGUFULI
Serikali ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesema katika kipindi cha muhula wa pili wa miaka mitano ya Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli itajikita zaidi katika diplomasia ya uchumi, kuimarisha sekta binafsi, kukuza biashara pamoja…