HAKUNA TISHIO LA USALAMA NCHINI
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI HAKUNA TISHIO LA USALAMA NCHINI Kumekuwa na taarifa kwenye mitandao ya kijamii zinazosambazwa na watu wasioitakia mema nchi, zinazotishia usalama wa raia na mali zao. Taarifa hizo zimewatia hofu baadhi…