Waziri Mahiga atembelea kiwanja kitakachojengwa Ofisi za Wizara kilichopo Ihumwa Dodoma
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma, Bw. Godwin Kunambi alipofika eneo la kiwanja cha Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano…