TANZANIA KENYA ZAKUBALIANA KUENDELEA KUIMARISHA UHUSIANO
amhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Kenya zimekubaliana kuendelea kuimarisha uhusiano na ushirikiano baina ya nchi zao kwa manufaa ya pande zote mbili.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu…