DKT. MPANGO : TUJITOE UPYA NA KUONGEZA UWEKEZAJI KATIKA ELIMU
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema Mataifa yanapaswa kujitoa upya na kuongeza uwekezaji zaidi katika sekta ya elimu ili kuhakikisha watoto wanapata elimu bora na…