WAJUMBE WA KAMATI YA NUU WATEMBELEA MIRADI YA KIKANDA YA EAC
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU) chini ya Mwenyekiti wake, Mhe. Vita R. Kawawa, wameitaja Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kama Jumuiya yenye maono na inayatafsiri kivitendo maono yake.Wameeleza…