WAZIRI MULAMULA AMUAGA BALOZI WA UBELGIJI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula (Mb) ameagana na Balozi wa Ubelgiji nchini Mhe. Peter Van Acker ambaye amemaliza muda wake wa uwakilishi hapa nchini. Akizungumza na Mhe. Balozi Peter…