TANZANIA KUSHIRIKIANA NA WADAU MBALIMBALI KUBORESHA SEKTA YA MAJI NCHINI
Tanzania ipo tayari kushirikiana na wadau mbalimbali katika kuboresha sekta ya maji na usafi wa mazingira nchini ili kuwawezesha wananchi wa mijini na vijijini kuondokana na changamoto ya ukosefu wa maji safi na salama. Hayo yamesemwa…