RAIS DKT. SAMIA APOKELEWA RASMI INDONESIA, HATI SABA ZASAINIWA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amepokelewa rasmi katika Ikulu ya Bogor jijini Jakarta na mwenyeji wake Mhe. Joko Widodo baada ya kuwasili nchini Indonesia kwa ziara ya siku tatu ya Kitaifa iliyoanza…