TANZANIA KUENDELEA KUIMARISHA USHIRIKIANO NA SEKRETARIET YA EAC
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa January Makamba (Mb.) amekutana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Mhe. Dkt. Peter Mathuki kuzungumzia masuala muhimu yanayohusu kuimarisha na kuboresha…