MAWAZIRI EAC KUONGEZA KASI YA UTEKELEZAJI WA MIPANGO NA MAKUBALIANO
Mawaziri wanaosimamia masuala ya Afrika Mashariki na Mipango katika Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wamekubaliana kuongeza kasi ya utekelezaji wa mipango, maagizo na makubaliano mbalimbali yaliyofikiwa katika Jumuiya.Hayo…