MKUTANO WA 34 WA BARAZA LA KISEKTA LA MAWAZIRI LINALOSHUGHULIKIA MASUALA YA EAC NA MIPANGO WAANZA ARUSHA
Mkutano wa 34 wa Baraza la Kisekta la Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki linaloshughulikia masuala ya Afrika Mashariki na Mipango umeanza leo tarehe 04 Novemba 2024 jijini Arusha.Mkutano unaotarajiwa kufanyika kwa siku tano kuanzia…