BALOZI MBUNDI AFANYA MAZUNGUMZO NA MKUU WA USHIRIKIANO WA KIKANDA WA UJERUMANI
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki, Balozi Stephen Mbundi amekutana kwa mazungumzo na Mkuu wa Ushirikiano wa Kikanda wa Ujerumani, Bi. Julia Kronberg katika…