MHE. MAKINDA AKUTANA NA DKT. SPECIOZA WANDIRE-KAZIBWE MKUU WA MISHENI YA UANGALIZI WA UCHAGUZI YA UMOJA WA AFRIKA
Mkuu wa Misheni ya Uangalizi wa Uchaguzi Mkuu wa Namibia kutoka Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-SEOM), Mhe. Anne Makinda, amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Misheni ya Uangalizi wa Uchaguzi ya Umoja wa Afrika (AUEOM)…