BALOZI SIRRO AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS WA JAMHURI YA MAURITIUS
Balozi wa Tanzania nchini Mauritius mwenye makazi yake nchini Zimbabwe, Mhe. Simon Nyakoro Sirro amewasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Mauritius Mhe. Prithvirajsing ROOPUN, G.C.S.K katika Ikulu ya nchi…