Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya umeandaa Misa Maalum ya kumbukumbu ya Mwalimu J.K Nyerere
TAARIFA KWA UMMA Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya umeandaa Misa Maalum ya kumbukumbu ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere itakayofanyika tarehe 14 Oktoba, 2017 katika Kanisa la Holy Family Basilica, Nairobi kuanzia saa 4.00 hadi saa…