Waziri Mahiga Akutana na Waziri wa Korea
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Augistine Mahiga (kulia) akizungumza na Naibu Waziri wa Mipango na Uratibu kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Korea, Mhe. Balozi Paik Ji-ah. Mazungumzo yao yalijikita…