Wizara yaelezea uhuru wa kufanya biashara EAC
Bw. Mwambe akiongea na waandishi wa habari, ambapo alieleza ni wakati sasa Watanzania wakatumia fursa hizo na pale wanapokutana na vikwazo vinavyokwamisha biashara zao ni vema wakatoa taarifa mapema badala ya kujijengea dhana ya uoga…