Skip to main content

Waziri Mahiga Akutana na Waziri wa Korea

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Augistine Mahiga (kulia) akizungumza na Naibu Waziri wa Mipango na Uratibu kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Korea, Mhe. Balozi Paik Ji-ah. Mazungumzo yao yalijikita…

Wimbo na Bendera ya Afrika Mashariki

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki inapenda kutoa utaratibu wa matumizi ya Bendera na Wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki  kama ilivyotangazwa hivi karibuni. Utaratibu huo ni kwamba  Bendera ya…