Rais Magufuli awaapisha Mabalozi Wanne
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli amewapangia vituo na kuwaapisha Mabalozi wapya wanne ambao uteuzi wao ulifanyika tarehe 03 Desemba 2016. Mabalozi hao ambao waliapishwa…