Jumuia ya Africa mashariki (EAC) imeandaa kongamano la utafiti wa kisayansi la bonde la ziwa victoria litakalofanyika katika hoteli ya malaika Beach Resort jijini Mwanza tarehe 15 na 16 February 2017. Kupata habari zaidi na namna ya…
Maadhimisho hayo yaliyoenda sambamba na ufunguzi wa Jengo la Ubalozi mpya wa India yalifanyika kwenye Jengo hilo lililopo Mtaa wa Shaaban Robert Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Januari, TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI India yaadhimisha…
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga, ameipongeza Serikali ya Cuba kwa mchango wake wa maendeleo hapa nchini hususan katika sekta za elimu, afya na kilimo. Hayo yamebainishwa na Waziri…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. WANG Yi anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi nchini tarehe 09 Januari 2017. Mhe. Waziri Wang Yi atapokelewa na mwenyeji wake Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,…
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga akizungumza na Balozi wa China nchini, Mhe. Lu Youqing alipofika Wizarani kwa ajili ya mazungumzo kuhusu ushirikiano kati ya Tanzania na China.
Visa exemption for Tanzanian diplomatic and official/service passport holders The United Republic of Tanzania and the Republic of India have started to implement the agreement signed by the two Governments on 10 July, 2016 on…
Baadhi ya Vyombo vya habari vya hapa nchini hivi karibuni vilitoa taarifa kuwa, Watanzania 8 wanaodaiwa kuwa ni majasusi wa Serikali ya Tanzania wamekamatwa nchini Malawi kwa tuhuma za kuingia kwenye mgodi wa urani wa Kayerekera uliopo…