Tanzania na Ethiopia Zakubaliana kukuza Ushirikiano
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ameeleza kuwa ziara ya siku mbili ya Waziri Mkuu wa Ethiopia, Mhe. Hailemariam Dessalegn nchini Tanzania ni ya mafanikio makubwa kwa nchi zote mbili. Rais…