WAZIRI KOMBO AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA MKUTANO WA 46 WA BARAZA LA MAWAZIRI WA EAC
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ameongoza ujumbe wa Tanzania kwenye Mkutano wa 46 wa Kawaida wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)…