News and Events

BALOZI SOKOINE AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CANADA NCHINI

BALOZI SOKONE AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CANADA NCHINI Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Joseph Sokoine, leo terehe 1 Septemba 2021 amekutana na kufanya…

Read More

BALOZI SOKOINE AKUTANA NA BALOZI WA INDIA, ALGERIA NA SWEDEN

BALOZI SOKOINE AKUTANA NA BALOZI WA INDIA, ALGERIA NA SWEDEN Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Joseph Sokoine amekutana na kufanya mazungumzo na mabalozi watatu wanaoziwakilisha…

Read More

HATI TATU ZA MAKUBALIANO ZASAINIWA KUHITIMISHA MKUTANO WA NNE WA TUME YA PAMOJA

Mkutano wa Nne wa Tume ya Pamoja ya Ushirikiano kati ya Tanzania na Kenya  umehitimishwa leo  tarehe 24 Agosti 2021 kwa kusainiwa Hati tatu za Makubaliano ya ushirikiano kwenye masuala ya Diplomasia…

Read More

BALOZI SOKOINE AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KWENYE MKUTANO WA NNE WA TUME YA USHIRIKIANO

BALOZI SOKOINE AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KWENYE MKUTANO WA NNE WA TUME YA USHIRIKIANO KATI YA TANZANIA NA KENYA ULIOFANYIKA JIJINI NAIROBI KWA NGAZI YA MAKATIBU WAKUU. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano…

Read More

WAZIRI MULAMULA KUONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KWENYE MKUTANO WA NNE WA TUME YA PAMOJA YA USHIRIKIANO

WAZIRI MULAMULA KUONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KWENYE MKUTANO WA NNE WA TUME YA PAMOJA YA USHIRIKIANO KATI YA TANZANIA NA KENYA Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Liberata Mulamula…

Read More

MKUTANO WA NNE WA TUME YA PAMOJA YA USHIRIKIANO KATI YA TANZANIA NA KENYA WAFANYIKA NAIROBI, KENYA.

MKUTANO WA NNE WA TUME YA PAMOJA YA USHIRIKIANO KATI YA TANZANIA NA KENYA WAFANYIKA NAIROBI, KENYA.  Mkutano wa Nne wa Tume ya Pamoja ya Ushirikiano kati ya Tanzania na Kenya umeanza kufanyika leo tarehe 19…

Read More