KISWAHILI CHAPENDEKEZWA KUTUMIKA RASMI SADC
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge akiwasilisha mada katika kikao cha Makatibu Wakuu wa SADC kilichofanyika leo jijini Dar es Salaam kwa njia ya mtandao Lugha…
BURUNDI YAIOMBA TANZANIA KUISEMEA KIMATAIFA
Burundi imeiomba Tanzania kuendelea kuisemea nchi hiyo katika majukwaa ya Kimataifa ili iweze kuondolewa vikwazo vya kiuchumi ilivyowekewa na Jumuiya ya Ulaya jambo linalozorotesha maendeleo ya kiuchumi kwa nchi hiyo. Ombi hilo…
MKUTANO WA SITA WA TUME YA PAMOJA KATI YA TANZANIA NA BURUNDI KUFANYIKA MKOANI KIGOMA
Tanzania na Burundi zimejipanga kuutumia Mkutano wa Sita wa Tume ya Pamoja ya Kudumu kama njia mojawapo ya kuhamasisha wananchi wa pande zote mbili kuchangamkia fursa mbalimbali za uchumi zinazopatikana katika nchi hizi ili kunufaika…
PROF. KABUDI APOKEA NAKALA ZA HATI ZA UTAMBULISHO ZA MABALOZI WATEULE
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) amekutana na kupokea nakala za hati za utambulisho za mabalozi wateule hapa nchini pamoja na hati ya utambulisho ya Konseli Mkuu wa China…
WAKUU WA NCHI WA AFRIKA MASHARIKI KUFANYAUTEUZI WA VIONGOZI WA JUMUIYA
Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wanatarajiwa kufanya uteuzi wa viongozi mbalimbali wa Jamuiya katika Mkutano wa Kilele wa Wakuu wa Nchi hao unaotarajiwa kufanyika Jumamosi tarehe 27 Februari, 2021. Viongozi waonatarajiwa…