INDIA, JAPAN NA OMAN WAANDIKIA BARUA YA KISERIKALI KWA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI WAZIRI MKUU WA INDIA NA JAPAN PAMOJA NA NAIBU WAZIRI MKUU WA OMAN WAANDIKIA BARUA YA KISERIKALI KWA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN KWA SALAMU ZA RAMBIRAMBI NA PONGEZI Mwanza, 24 Machi 2021…
XI JINPING AMLILIA HAYATI DKT. JOHN POMBE MAGUFULI.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI XI JINPING AMLILIA HAYATI DKT. JOHN POMBE MAGUFULI. Dodoma, 23 Machi 2021 Rais wa Jamhuri ya Watu wa China XI Jinping amemuandikia barua ya Kiserikali Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.…
Rest in Peace President - H.E Dr. John Pombe Magufuli
The Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation is deeply saddened with the news of the demise of The President of the United Republic of Tanzania H. E Dr. John Pombe Joseph Magufuli, televised on 17 March…
Pumzika kwa Amani Mhe Dkt John Pombe Magufuli
Uongozi, Menejimenti pamoja na Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika mashiriki umepokea kwa mshtuko mkubwa taarifa za kifo cha Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kilichotokea Machi 17, 2021 Dar…