WAZIRI MULAMULA AZINDUA MASHINDANO YA KIMATAIFA YA BAISKELI TANZANIA JIJINI DAR
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula (Mb) leo Septemba 28, 2021 amezindua Mashindano ya Kimataifa ya Baiskeli Tanzania (Tanzania International Cycle Tour) jijini Dar es Salaam.…