WAZIRI MULAMULA AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA IRELAND
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Ireland nchini Mhe. Mary O’Neil katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam.…