TANZANIA YASISITIZA KUUNGA MKONO, KUENDELEZA UHUSIANO NA CHINA
Tanzania imesisitiza kuunga mkono, kuendeleza ushirikiano, uhusiano na mshikamano ambao China imekuwa ikiuonesha kwa nchi za Afrika. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi…