Balozi Mteule wa Jamhuri ya Cyprus, awasilisha Nakala za Hati za Utambulisho
Tarehe 27 Machi, 2025 Balozi Mteule wa Jamhuri ya Cyprus mwenye makazi yake Nairobi Kenya, Mhe. Savvas Viadimirou amewasilisha nakala ya hati za utambulisho kwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, anayeshughulikia…
Mhe. Londo Apokea Nakala za Hati za Utambulisho za Balozi Mteule wa Jamhuri ya Tunisia
Tarehe 27 Machi, 2025 Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki Mhe. Dennis Londo (Mb) amepokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya…
Balozi Mteule wa Jamhuri ya Kazakhstan awasilisha Nakala za Hati za Utambulisho
Balozi Mteule wa Jamhuri ya Kazakhstan mwenye makazi yake mjini Pretoria, nchini Afrika Kusini, Mhe. Yerkin Akhinzhanov amewasilisha Nakala za Hati za Utambulisho kwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,…
Mhe. Londo apokea Nakala za Hati za Utambulisho za Balozi Mteule wa Jamhuri ya Equatorial Guinea
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki Mhe. Dennis Londo (Mb) amepokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Equatorial Guinea makazi…
PRESS RELEASE
The Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation wishes to inform the Public and Diplomatic Community that H.E. Dr. Sarnia Suluhu Hassan, President of the United Republic of Tanzania on 28th March 2025. will receive Letters…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan awasili nchini Namibia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hosea Kutako, Windhoek nchini Namibia kwa ajili ya kuhudhuria hafla ya uapisho wa Rais wa nchi hiyo Mhe. Netumbo…
WAZIRI RAHMA NA NAIBU WAZIRI CHUMI WATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI NAMIBIA TAREHE 20 MACHI, 2025
Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya makaazi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mhe. Rahma Kassim Ali na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Cosato Chumi (Mb.), wametembelea Ubalozi wa Tanzania nchini…