BUNGE LAPITISHA BAJETI YA WIZARA KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha kwa kishindo makadirio ya bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026 ya Shilingi 340,538,614,000 ambapo kati ya fedha…