Waziri Mahiga katika mazungumzo yake alieleza kuwa Tanzania ipo tayari kushirikiana na Australia katika kuhakikisha inazisimamia na kuziwezesha Taasisi za Haki za Binadamu za hapa nchini na kuhakikisha haki hizo zinasimamiwa kikamilifu…
Sekretariati ya Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) imetangaza nafasi mbalimbali 16 za ajira kupitia tangazo lao lililotolewa tarehe 16 Aprili, 2016 Kumb. Na. SADC/2/3/3/3 katika tovuti ya http://www.sadc.int Hata hivyo,…
Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga (Mb) akimkaribisha Mhe. Philip Ruddock, Mjumbe Maalum wa Haki za Binadamu na Mwenyekiti wa Kamati ya pamoja ya Bunge nchini…
1. THEIR EXCELLENCIES GENERAL SALVA KIIR MAYARDIT, PRESIDENT OF THE REPUBLIC OF SOUTH SUDAN, ANDDR. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, PRESIDENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA AND CHAIRPERSON OF THE EAST AFRICAN COMMUNITY SUMMIT…
Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki akisaini Mkataba wa Kuiwezesha Sudan Kusini kuwa Mwanachama Kamili wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), tukio hilo la…
Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa pamoja na Mhe. Salva Kiir Mayardit, Rais wa Jamhuri ya Sudan Kusini wamesaini Mkataba wa kuiwezesha Jamhuri ya…
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Susan Kolimba akimkaribisha Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Italia, Mhe. Dkt. Mario Giro ambaye yupo nchini kwa ziara ya kikazi ya siku…