Maadhimisho ya Siku ya Umoja wa Afrika
Tanzania inaungana na nchi nyingine za Bara la Afrika kusherehekea Siku ya Afrika inayoadhimishwa kila mwaka tarehe 25 Mei. Sherehe hizo hufanyika kuadhimisha siku ya kuundwa kwa Muungano wa Nchi za Afrika (OAU) Mwaka 1963…