Waziri Mkuu wa India awasili nchini
Waziri Mkuu wa India Mhe. Narendra Modi akipunga mkono kusalimia wananchi waliojitokeza kumlaki mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Mhe. Modi atakuwa nchini kwa ziara ya siku mbili kuanzia…
Rais Dkt. John Pombe Magufuli ampokea Waziri Mkuu wa India
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea Waziri Mkuu wa India Mhe. Narendra Modi mara baada ya kuwasili katika Viwanja vya Ikulu Jiji Dar es Salaam. Mhe. Modi yupo nchini kwa ziara ya kikazi…
Ziara ya Waziri Mkuu wa India nchini Tanzania
Serikali ya India imeahidi kuipatia Tanzania msaada wa Dola za Marekani milioni 500 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya kipaumbele ili kuunga mkono juhudi za Serikali ya awamu ya tano ya kuifanya Tanzania kuwa nchi ya…
Semina kuhusu Maendeleo ya Viwanda
Mhe. Kolimba na akijadiliana jambo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Aziz Mlima wakati wa Ufunguzi wa Semina ya Kimataifa kati ya China na Afrika kuhusu ushirikiano wa kuendeleza…
Rais Kagame afungua Maonyesho ya 40 ya Biashara
Rais Paul Kagame akihutubia katika halfa ya ufunguzi wa Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika Viwanja vya Mwl. Julius Nyerere (Sabasaba) jijini Dar es Salaam, ambapo alikuwa mgei rasmi katika maonyesho hayo.
Rais Paul Kagame wa Rwanda awasili Nchini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Mhe.…
Wizara ya Mambo ya Nje yaadhimisha Wiki ya Utumishi wa Umma
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Aziz Mlima amewaasa watumishi wa Wizara hiyo kutekeleza wajibu wao ipasavyo kwa kuwa Dira ya Taifa ya Maendeleo haiwezi kufikiwa bila ya wao kutimiza wajibu…