Tanzania kushirikiana na Japan katika mafunzo kwa Wahandisi
Hafla hiyo ambayo ilitanguliwa na Kongamano la Biashara kati ya Afrika na Japan ilihusisha nchi 20 za Afrika ambazo zimeingia makubaliano ya kuimarisha uwekezaji na biashara na Makampuni makubwa 22 ya Japan. Kwa upande wa Tanzania,…