Taarifa ya ufafanuzi kuhusu habari za Watanzania kuteswa katika nchi za Mashariki ya Kati
Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya kati wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Abdallah Kilima akizungumza na waandishi wa habari katika mkutano uliofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius…