Waziri Mahinga na Waziri Mambo ya Nje wa Norway
Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa Mhe. Balozi Augustine Mahiga akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway Bi. Tone Skogen kushoto aliyemtembelea leo katika ofisi za Wizara, ambapo…