’Wito watolewa kwa kila mwananchi kuwajibika kwa malengo ya Dunia’, Oktoba 19, 2016 Dar es Salaam – OKTOBA 24 kila mwaka Umoja wa Mataifa hufanya maadhimisho ya kuzaliwa kwake. Mwaka huu mashirika ya Umoja wa…
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Baraza la Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), Mhe Augustine Mahiga…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Eng. John Kijazi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika…
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Susan Kolimba na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Czech Mhe.Ivan Jancarek Katika mazungumzo kuhusu namna ya kuimarisha ushirikiano baina ya…
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki inachukua fursa hii leo kupeleka taarifa kwa Umma kupitia vyombo vya habari juu ya habari zilizochapishwa katika gazeti moja kuhusu mateso wanayopata Watanzania wanaofanya kazi…
Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya kati wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Abdallah Kilima akizungumza na waandishi wa habari katika mkutano uliofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius…