Tanzania na Umoja Wa Falme za Kiarabu Zafanya Mkutano wa Kwanza Tume ya Pamoja ya Kudumu ya Ushiriki
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) zimefanya kikao cha kwanza cha Tume ya Pamoja ya Kudumu ya Ushirikiano huko Abu Dhabi makao makuu ya Umoja wa Falme za Kiarabu. Kikao…