Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Italia Afanya Ziara Nchini Tanzania
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Susan Kolimba akimkaribisha Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Italia, Mhe. Dkt. Mario Giro ambaye yupo nchini kwa ziara ya kikazi ya siku…