Tume ya Kudumu ya Pamoja ya Ushirikiano Tanzania - Rwanda
Kikao cha Kumi na Nne cha Tume ya Pamoja ya Kudumu ya Ushirikiano baina ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Rwanda, 29 Aprili – 1 Mei, 2016, Gisenyi RWANDA Kikao cha Tume ya Pamoja ya Kudumu ya Ushirikiano kati ya…