Rais Magufuli Afanya Ziara Rasmi Ya Kitaifa Nchini Namibia,Afungua Mtaa Mkubwa Uliopewa Jina La Mwl.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifunua kitambaa na mwenyeji wake Rais wa Namibia Mheshimiwa Dkt. Hage Geingob kuashiria uzinduzi rasmi wa mtaa Julius K. Nyerere ulipo katika Jiji la Windhoek…