Prof. Kabudi afanya mazungumzo na Spika wa Bunge la Rwanda
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb.) akisalimiana na mgeni wake ambaye ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Rwanda, Mhe. Mukabalisa Donatille alipowasili katika Ofisi ndogo za Wizara…