MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI AMALIZA ZIARA YA KIHISTORIA NCHINI
Makamu wa Rais wa Marekani, Mhe. Kamala Harris ameondoka nchini baada ya kumaliza ziara yake ya kihistoria ya siku tatu iliyofanyika kuanzia tarehe 29 hadi 31 Machi 2023 kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.…
TANZANIA NA MAREKANI ZAKUBALIANA KUIMARISHA USHIRIKIANO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amepongeza kuimarika kwa ushirikiano wa kidiplomasia kati ya Tanzania na Marekani hususan kwenye sekta zinazochangia kuboresha maisha ya watanzania kama afya, elimu,…
KAMALA AWASILI NCHINI
Makamu wa Rais wa Marekani, Mhe. Kamala Harris amewasili nchini tarehe 29 Machi, 2023 kuanza ziara yake ya kikazi ya siku tatu kuanzia tarehe 29 hadi 31 Machi, 2023.Mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius…
DKT. TAX AKUTANA NA BALOZI WA MAREKANI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb.) amekutana na kuzungumza na Balozi wa Marekani nchini, Mhe. Michael Battle katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam.Pamoja na mambo mengine,…
NCHI ZA SADC ZAWEKA MIKAKATI YA KUJIKWAMUA KIUCHUMI
Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umehitimishwa jijini Kinshasa tarehe 19 Machi 2023, huku agenda za kujikwamua kiuchumi katika kanda hiyo ya Kusini mwa Afrika zikipewa kipaumbeleUjumbe…
TANZANIA YAKABIDHI RASMI MSAADA NCHINI MALAWI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekabidhi rasmi msaada wa kibinadamu kwa Serikali ya Malawi kwa…
KAMPUNI YA MABASI YA CLASSIC COACH KUTANGAZA FILAMU YA THE ROYAL TOUR NCHINI DRC
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax ameipongeza na kuishukuru kampuni ya Mabasi ya Classic Coach kwa uamuzi wake wa kizalendo wa kukubali kuonesha filamu ya The Royal Tour iliyotafsiriwa…