WAZIRI MAKAMBA AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA VIWANDA NA TEKNOLOJIA YA JUU WA SERIKALI YA UAE
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba (Mb.) amekutana na kuzungumza na Waziri wa Viwanda na Tekinolojia ya Juu wa Serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu, Mhe. Sultan Ahmed Al Jaber Jijini Nairobi,…