RAIS WA SENEGAL AWASILI NCHINI KUHUDHURIA AGRF 2023
Rais wa Jamhuri ya Sénégal Mhe.Macky Sall amewasili nchini kuhudhuria Mkutano wa Mifumo ya Chakula Afrika unaofanyika nchini kuanzia tarehe 5-8 Septemba 2023.Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam Mhe.…