Waziri Mahiga apokea Dola elf 50,000 kwa ajili ya Waathirika wa Kagera
Serikali ya Jamhuri ya Korea imetoa msaada wa Dola za Marekani elf 50,000 takribani milioni 108 kwa fedha za Tanzania kwa ajili ya waathirika wa tetemeko la ardhi lilitokea mkoani Kagera mwezi Septemba 2016. Msaada huo ulikabidhiwa…