TANZANIA - ZAMBIA WAJADILI MASUALA YA USHIRIKIANO
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Zambia zinakutana jijini Lusaka, Zambia kujadili masuala ya ushirikiano yaliyokubaliwa baina ya nchi hizo mbili.Majadiliano hayo yanafanyika katika ngazi ya Wataalam ikiwa…