TANZANIA NA ZAMBIA ZAAZIMIA KUMALIZA CHANGAMOTO ZA KIBIASHARA NA USAFIRISHAJI
Tanzania na Zambia zimedhamiria kumaliza changamoto za kibiashara na usafirishaji zinazowakabili wafanyabiashara ili kuruhusu biashara na usafirishaji wa bidhaa ufanyike bila vikwazo baina ya nchi hizo.Hayo yamebainishwa katika hotuba…